Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?

  • Dr. Mwanyika
  • 2020-12-27
  • 27453
Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?
  • ok logo

Скачать Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi? бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi? или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi? бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?

Mambo ambayo huweza kupelekea kukosa usingizi kwa Mama Mjamzito ni kama yafuatayo!

1. Kuongezeka kwa hamu ya kwenda kukojoa Mara kwa Mara usiku!

2. Kupata maumivu ya Mgongo kutokana na kulegezwa kwa ligaments kutokana na ongezeko la homoni ya Relaxin na nk.

3. Kupata Maumivu ya kubana na kauchia wakati wa usiku kwa sababu ya ongezeko la homoni iitwayo oxytocin usiku!

4. Mtoto anapocheza hupelekea wakati mwigine Mama kushindwa kulala ipasavyo!

5. Ugonjwa au shida ya kuwa na Mijongeo ya miguu wakati wa kulala usiku (RLS) kwa baadhi ya wajawazito kutokana na upungufu wa madini chuma na folic acid!

6. Kiungulia na GERD wakati wa Ujauzito na usiku.

7. Kulalia upande mmoja ambapo hupelekea Mjamzito kusijisikia vibaya wakati wa kulala husasani kuanzia miezi 7 kwenda juu.

8. Ongezeko la homoni iitwayo Estrogen ambayo hupunguza uwezekano wa kupati wa usingizi hususani miezi mitatu ya mwisho ya Ujauzito!

9. Matatizo au vitu vinavyopelekea Msongo wa Mawazo au shida za kisaikolojia kwa Mjamzito.


NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#KukosaUsingizi
#JapideAfya_Services

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi.
    Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi.
    5 лет назад
  • Zembwela Kuhusu Ndoa
    Zembwela Kuhusu Ndoa "Kuna Mke Mke, Mke Mke Wenu Na Mke Mkeo" | SALAMA NA ZEMBWELA PT 2
    3 года назад
  • Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    Альфред Кох – Путин 1990-х, бандиты, НТВ, Навальный / вДудь
    2 дня назад
  • Je Mjamzito Kulalia Mgongo Au Tumbo Ina ruhusiwa? | Kulala kwa Mgongo au Tumbo Ni Salama?
    Je Mjamzito Kulalia Mgongo Au Tumbo Ina ruhusiwa? | Kulala kwa Mgongo au Tumbo Ni Salama?
    2 года назад
  • Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    11 часов назад
  • В 100 раз сильнее Квашеной капусты! Просто выпей 1 раз перед сном
    В 100 раз сильнее Квашеной капусты! Просто выпей 1 раз перед сном
    12 часов назад
  • Ночные пробуждения в 3–4 часа: как найти причину и вернуть глубокий сон.
    Ночные пробуждения в 3–4 часа: как найти причину и вернуть глубокий сон.
    2 месяца назад
  • Как «обмануть» инсулин и убрать висцеральный жир? 5 способов, которые легче любой диеты!
    Как «обмануть» инсулин и убрать висцеральный жир? 5 способов, которые легче любой диеты!
    3 дня назад
  • Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)!
    Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)!
    2 года назад
  • ФЕДОРОВ:
    ФЕДОРОВ: "Это круче Томагавка". Почему Путину надо креститься, что разработала Украина, Кремль, ИРАН
    12 часов назад
  • Варёные яйца нельзя есть с этим! ТОП-3 опасных сочетания для сосудов и почек после 60 лет
    Варёные яйца нельзя есть с этим! ТОП-3 опасных сочетания для сосудов и почек после 60 лет
    2 дня назад
  • Je  Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    Je Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    2 года назад
  • Ni wakati gani sahihi kwa Mjamzito kusafiri? | Muda sahihi wa kusafiri wakati wa ujauzito ni upi???
    Ni wakati gani sahihi kwa Mjamzito kusafiri? | Muda sahihi wa kusafiri wakati wa ujauzito ni upi???
    5 лет назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    4 года назад
  • MADHARA YA JOTO KALI KWA AFYA YA BINADAMU
    MADHARA YA JOTO KALI KWA AFYA YA BINADAMU
    1 год назад
  • Je Kukosa Pumzi /Kupumua Haraka Kwa Mjamzito Hutokana  NA Nini? (Jinsi Kupunguza Kupumua Kwa Shida )
    Je Kukosa Pumzi /Kupumua Haraka Kwa Mjamzito Hutokana NA Nini? (Jinsi Kupunguza Kupumua Kwa Shida )
    2 года назад
  • Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??
    Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??
    4 года назад
  • Je ufanye nini unapopata Dalili ya Choo kigumu/ Funga Choo / Constipation wakati wa Ujauzito???.
    Je ufanye nini unapopata Dalili ya Choo kigumu/ Funga Choo / Constipation wakati wa Ujauzito???.
    4 года назад
  • Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?
    Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?
    4 года назад
  • 4 рыбы, которые медленно убивают после 60 — и 4 лучшие для долголетия | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ
    4 рыбы, которые медленно убивают после 60 — и 4 лучшие для долголетия | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ
    1 день назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com