Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).

  • Dr. Mwanyika
  • 2020-08-22
  • 139811
Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).
  • ok logo

Скачать Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3). бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3). или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3). бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).

Dalili za Mimba ya miezi mitatu(3) ni kama hizi zifuatazo!

1. Kupata kichefu chefu na kutapika wakati wa kuamka ahsubuhi (Morning Sicknesses).

Ugonjwa wa kutapika kwa Mama mjamzito (Sehemu A).
   • Kutapika nyongo wakati wa ujauzito/Kuhisi ...  

Mambo ya kufanya kama unatapika sana wakati wa ujauzito (Sehemu B).
   • Kutapika nyongo kwa mjamzito |Jinsia ya ku...  

2. Kukojoa Mara kwa mara.
Kwa sababu ya mfuko wa uzazi(Uterus)
kugandamiza kwa kibofu cha mkojo.

Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
   • Видео  

3. Kupata choo kigumu (Constipation).
Kwa sababu ya ongezeko la hormone ya Progesteroni.

Njia za kujikinga na choo kigumu katika kipindi cha ujauzito
   • Видео  

4. Kuchoka mara kwa mara.
Vile vile hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya homoni.

Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
   • Видео  

5. Kutokwa ute ukeni,hii ni kutokana na ongezeko la homoni ya estrojeni,kwa ajili ya kuondoa vijidudu ambao wanaweza kuingia kwenye mlango wa uzazi na kusababisha madhara kwa mtoto na mimba kiujumla.

Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
   • Видео  

6. Maumivu ya tumbo na kiuno kwa upande wa nyuma,hii ni kwa sababu ya kuvutika kwa ligamenti na tendoni kutokana na ukuaji wa mtoto ndani ya mfuko mzazi.

Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
   • Видео  

7. Kubadilika kwa mood,mfano mama mjamzito kuwa na hasira mara kwa mara.

8. Kupata kiungulia wakati wote wa ujauzito.

Sababu za kiungulia kwa wajawazito na jinsi ya kupunguza athari au dalili zake.
   • Видео  

9. Kuvimba kwa mishipa damu ya miguuni,hii ni kwa sababu ya kugandamizwa kwa mishipa ya damu na mfuko wa uzazi na kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye Moyo.

10. Kula vyakula visivyo na radha mfano; Ndimu na udongo,kubadilika kwa kuhisi harufu.

NB;Ukiwa unaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
   / dr.mwanyika  
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#AfyaBora
#JapideAfya_Services
#Mimba(3).

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    3 года назад
  • Dalili za Mimba/Ujauzito wa umri wa Miezi Minne (4).!
    Dalili za Mimba/Ujauzito wa umri wa Miezi Minne (4).!
    5 лет назад
  • NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!.
    NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!.
    3 года назад
  • Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).
    Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).
    3 года назад
  • Je Maumivu ya kichwa kwa Mjamzito ktk miezi 3 ya mwanzoni husababishwa na nini? | Kichwa kuuma sana.
    Je Maumivu ya kichwa kwa Mjamzito ktk miezi 3 ya mwanzoni husababishwa na nini? | Kichwa kuuma sana.
    3 года назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    2 года назад
  • Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.
    Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.
    4 года назад
  • JE LINI UFANYE ULTRASOUND KTK KIPINDI CHA UJAUZITO? | JE MARA NGAPI UFANYE ULTRASOUND KTK UJAUZITO?.
    JE LINI UFANYE ULTRASOUND KTK KIPINDI CHA UJAUZITO? | JE MARA NGAPI UFANYE ULTRASOUND KTK UJAUZITO?.
    4 года назад
  • Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    4 года назад
  • Matunda hatari kwa Mama Mjamzito! | Mjamzito tumia Matunda haya kwa tahadhari kubwa!!!
    Matunda hatari kwa Mama Mjamzito! | Mjamzito tumia Matunda haya kwa tahadhari kubwa!!!
    5 лет назад
  • Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    3 года назад
  • Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito).
    Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito).
    3 года назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    5 месяцев назад
  • JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    4 года назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    2 года назад
  • США и Израиль ударили по Ирану. Главные подробности / Спецэфир
    США и Израиль ударили по Ирану. Главные подробности / Спецэфир
    Трансляция закончилась 57 секунд назад
  • Utoaji mimba | Abortion - Swahili
    Utoaji mimba | Abortion - Swahili
    4 года назад
  • HUZUNI YA TAWALA/MAKAMU WA RAIS NCHIMBI,WAZIRI MKUU MWIGULU WATINGA MSIMBANI KWA KARDINALI PENGO
    HUZUNI YA TAWALA/MAKAMU WA RAIS NCHIMBI,WAZIRI MKUU MWIGULU WATINGA MSIMBANI KWA KARDINALI PENGO
    4 часа назад
  • Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    3 года назад
  • Dalili za mimba ya miezi mitano(5) / Mimba ya miezi mitano!.
    Dalili za mimba ya miezi mitano(5) / Mimba ya miezi mitano!.
    5 лет назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com