Maseneta wapinga taratibu mpya za kuvuka Likoni

Описание к видео Maseneta wapinga taratibu mpya za kuvuka Likoni

Maseneta wa Mombasa na Kwale wamepinga vikali taratibu mpya za kivuko cha likoni pamoja na daraja la kuelea wakidai kuwa zitaongeza maambukizi hasa katika daraja kando na kudai kuwa sheria haikufuatwa kulingana na sera ya huduma za feri. Aidha wamelalama kuachwa nje katika mabadiliko hayo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке