Vijana mtaani Old Town watumia ubunifu wa nyimbo kuuza vyakula

Описание к видео Vijana mtaani Old Town watumia ubunifu wa nyimbo kuuza vyakula

Tangu kutolewa kwa amri ya kutotoka na kuingia eneo la Old Town mjini Mombasa, eneo hilo limehusishwa na visa vya wakaazi kukaidi mikakati inayowekwa na serikali na hata maambukizi zaidi kila siku. Lakini kwa vijana sita wa mtaa huo, hali hii iliwafanya kuwa wabunifu na kuanzisha biashara ya kuuza vyakula kwa wakaazi wakitumia ubunifu wa kisanii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке