Founders Safari S01ep04 | Founder of CameLabs | Zephania Reuben

Описание к видео Founders Safari S01ep04 | Founder of CameLabs | Zephania Reuben

Katika kipindi hiki, tunachimba kwa kina ulimwengu wa kuvutia wa akili mnemba (AI) pamoja na Zephania Reuben, huku tukichunguza maendeleo ya hivi karibuni katika AI, uchambuzi wa data, zana za modeli, na matumizi ya vitendo vya AI katika biashara za Kitanzania.

Zephania anatuelezea bidhaa yake ya hivi karibuni, DataLyse, jukwaa la Ujifunzaji wa AI ambalo linaruhusu watu binafsi na biashara kufanya uchambuzi wa kina bila haja ya ujuzi mkubwa wa programu au weledi katika sayansi ya data.

Mtafute Zefania Reuben:   / nsomazr  

Like, Subscribe, na Share ili kusikiliza safari zaidi. Kwa maelezo zaidi: https://linktr.ee/founderstanzania

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

In this episode, we dive deep into the fascinating world of artificial intelligence with Zephania Reuben, as we explore the latest advancements in AI, data analysis, modeling tools, and practical applications of AI technology in Tanzanian businesses.

Zephania highlights its latest product DataLyse, a Machine Learning platform that allows individuals and businesses to perform complex analyses without the need for extensive programming knowledge or expertise in data science.

Contact Zefania Reuben:   / nsomazr  

Like, subscribe, and share to listen to more safaris. For more: https://linktr.ee/founderstanzania


Disclaimer: The views expressed in this podcast are those of the guests and do not necessarily reflect the opinions of the podcast host or the production team.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке