JINSI YA KUPIKA SKONZI NZURI NA RAHISI SANA/HOW TO MAKE SOFT SCONES EASILY

Описание к видео JINSI YA KUPIKA SKONZI NZURI NA RAHISI SANA/HOW TO MAKE SOFT SCONES EASILY

Ingredients
Flour 2 and a half kg
Water 6cups
Sugar 1/2cup
Salt 4tsp
Yeast 6tsp
Bread Improver 1tsp
Margarine 50g
Baking Time 45minutes (175°c)

Mahitaji
Unga kilo 2 na nusu
Maji vikombe 6
Sukari nusu kikombe
Chumvi vijiko vya chai 4
Hamira ya chenga vijiko vya chai 6
Bred Impruva kijiko kimoja cha chai
Siagi gram 50
Muda wa kuoka dakika 45 moto 175°c

Комментарии

Информация по комментариям в разработке