Mfanyabiashara adai kuwa polisi anamtishia maisha Eldoret

Описание к видео Mfanyabiashara adai kuwa polisi anamtishia maisha Eldoret

Mfanyabiasha mashuhuri mjini Eldoret anahofia maisha yake akidai kuwa afisa mmoja kutoka kitengo cha NIS anamtishia maisha. Kulingana naye, amepiga ripoti kwa polisi mara 7 ila hakuna hatua yoyote imechukuliwa kufikia sasa. Polisi nao wamekataa kuzungumzia suala hilo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке