Duh! Mmiliki wa Kiwanda Hiki, Kweli Kaamua Kumgusa Magufuli!

Описание к видео Duh! Mmiliki wa Kiwanda Hiki, Kweli Kaamua Kumgusa Magufuli!

Duh! Mmiliki wa Kiwanda Hiki, Kweli Kaamua Kumgusa Magufuli!

Miongoni mwa sekta zinazotoa ajira kwa idadi kubwa ya vijana , ni sekta ya Viwanda, ambayo kwa kiasi kikubwa inapunguza tatizo la upungufu wa ajira nchini.

Ndoto kubwa ya Rais Magufuli ni Kuifanya Tanzania kuwa Nchi iliyojaa Viwanda, ndio maana ameamua kutoa kutoa fursa kwa Wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza zaidi kwenye sekta ya viwanda.

Katika makala hii Global TV imetembelea na kuzungumza na msimamizi wa mradi wa kiwanda cha Sayona, Kant Pater, kilichopo Chalinze kitakachosindika matunda halisi kutoka Tanzania, kinachotarajia kutoa ajira kwa zaidi ya watu 800 na kitazinduliwa hivi karibuni na Rais John Magufuli.

lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  .

TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке