JAMAA ALIYEACHA MSHAHARA WA MILIONI 30 BENKI YA DUNIA "DIAMOND NAMVALISHA, NINA KIWANDA"

Описание к видео JAMAA ALIYEACHA MSHAHARA WA MILIONI 30 BENKI YA DUNIA "DIAMOND NAMVALISHA, NINA KIWANDA"

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) ni kijana wa kitanzania aliyeacha kazi benki ya dunia ambapo alikuwa akilipwa zaidi ya million 30 kwa mwaka na akaamua kufungua ofisi yakushona nguo ambapo ameweza kuwavalisha watu mbalimbali nguo ikiwemo msanii Diamond Platnumz pamoja na hayti Dkt John Magufuli.

pamoja na biashara nyingine ambazo anazifanya ameamua kufungua kiwanda cha vinywaji katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambapo amesema fedha nyingi anayoipata ameamua kuwekeza kwenye biashara

Комментарии

Информация по комментариям в разработке