#MadeinTanzania

Описание к видео #MadeinTanzania

Kama unafanya Biashara ya matunda na Bidhaa za Matunda nchini Tanzania huhitaji kuwa na Hofu Tena. Fahamu kiwanda kikubwa Nchini chenye miundombinu ya kisasa ya kusindika matunda kwa muda mrefu bila kuharibika. ⠀

Kupitia #MadeinTanzania tutamulika namna ambavyo usindikwaji wa Matunda unavyosaidia kiwanda hicho kuzalisha bidhaa kwa mwaka nzima na namna unavyotoa Fursa kwa wauzaji wengi wa matunda na Bidhaa za Matunda nchini Tanzania.

Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2:30 Usiku:
Kila Jumapili saa 9:30 Alasiri (Marudio)

SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке