Annoint Amani = Sasa Naona ( Now I see Official Video Skiza Code 9039320 To 811 )

Описание к видео Annoint Amani = Sasa Naona ( Now I see Official Video Skiza Code 9039320 To 811 )

#annointamanisasanaona#

kipofi sio lazma uwe huoni macho ya mwili,Hapana hata upofu wa akili ni upofu, tena ndo upofu mbaya kuliko upofu wa mwili, maana ukiwa kipofi wa akili,Hata ukiwa na mali kias gani bado utaona maumivu na lawama nyingi kutoka kwa walio kuzunguka na ndugu zako,

Lakini Yesu amefanya tujitambue Rohoni na mwilini sisi ninani na tunatakiwa kufanya nini na mipaka yetu niipi,
Maana utajiri mkubwa hapa duniani sio mali bali ni kujitambua tu bas,

kuheshim cha mtu na kuheshim kidogo ukipatacho,
Pia kwenda na vitu vita 3 katika maisha,
neno Nisamehe ,
neno Pole ,
na neno Asante,
Hapo utaona maisha yatakavyokuwa mepesi na utapafa mafanikio makubwa sana rohoni na mwili )

Artist,Annoint Amani

Song,Sasa Ninaona ( Now I see )

Album,Mimi ndie Mungu pekee

Language Swahili

Booking
+255767240181= +255755099942
Instagram annoint amani)


Studio,A.E.A Tones prod by Meddy +255786849123

video, Directed by meddy & Yoel Mrisho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке