#Dirayamagwiji

Описание к видео #Dirayamagwiji

Alijiunga na shirika hili la KBC mwaka wa 1974 na tangu wakati huo hajarudi nyuma kwenye fani ya utangazaji.
Na wengi wanamfahamu vilivyo kutokana na midundo yake hasa nyimbo za taarabu.Anafahamika kama, Dada Mrembo, Khadija Ali akituelezea safari yake kwenye fani hii ya utangazaji



Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter:   / kbcchannel1  
Find us on Facebook:   / kbcchannel1news  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/


#KBCchannel1 #KBCNews #Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке