Rais Magufuli: Sipangiwi Kazi, Makonda Chapa Kazi, Usitishike na Mambo ya Mitandaoni

Описание к видео Rais Magufuli: Sipangiwi Kazi, Makonda Chapa Kazi, Usitishike na Mambo ya Mitandaoni

Rais Magufuli amesema kuna baadhi ya watu wanaingilia majukumu yake wakati yeye ndiyo mwenye uamuzi na kwamba hapangiwi kazi ya kufanya kwa sababu anajiamini.
Mkuu huyo wa nchi amewataka wakazi wa Dar es Salaam kuchapa kazi ili kujiletea maendeleo badala ya kupoteza muda kufuatilia udaku kwenye mitandao.
Hayo yamekuja siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kudaiwa kuvamia ofisi za Clouds Media, na kuwashinikiza watangazaji wa kipindi cha Shilawadu, warushe kipindi kinachodaiwa kuwa na maudhui ya kumchafua hasimu wake, Mchungaji Gwajima.
Tofauti na mategemeo ya wengi kwamba mheshimiwa rais angetoa kauli ya kukemea tukio hilo, amemtaka mkuu wa mkoa kufanya kazi na kutosikiliza wanaompinga.
#Makonda #Rais Magufuli #shilawadu #Mheshimiwa Rais #magufuli #clouds tv #Ruge Mutahaba #Joseph Kusaga #uzinduzi fly-over #Madawa #Makonda #Rais Magufuli #shilawadu #Mheshimiwa Rais #magufuli #clouds tv #Ruge Mutahaba #Joseph Kusaga #uzinduzi fly-over #Madawa #Makonda #Rais Magufuli #shilawadu #Mheshimiwa Rais #magufuli #clouds tv #Ruge Mutahaba #Joseph Kusaga #uzinduzi fly-over #Madawa #Makonda #Rais Magufuli #shilawadu #Mheshimiwa Rais #magufuli #clouds tv #Ruge Mutahaba #Joseph Kusaga #uzinduzi fly-over #Madawa #Makonda #Rais Magufuli #shilawadu #Mheshimiwa Rais #magufuli #clouds tv #Ruge Mutahaba #Joseph Kusaga #uzinduzi fly-over #Madawa
kwa habari nyingine kama hizi usikose kusubscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya ...
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке