KASEKENYA AWATAKA WAKANDARASI BARABARA YA MNIVATA – NEWALA – MASASI KUONGEZA KASI

Описание к видео KASEKENYA AWATAKA WAKANDARASI BARABARA YA MNIVATA – NEWALA – MASASI KUONGEZA KASI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amewataka Wakandarasi China Wu Yi na Ms China Communication wanaojenga barabara ya Mnivata- Newala – Masasi (Km 160) kwa kiwango cha lami kuhakikisha wanajenga barabara hiyo kwa ubora uliuokusudiwa na kukamilika kwa wakati.

Akizungumza wakati alipokagua barabara hiyo Septemba 13, 2024 mkoani Mtwara Naibu Waziri huyo amesema kuwa kukamilika kwa barabara hiyo kutafungua uchumi wa Mkoa huo na kuwasisitiza wakazi wa Mtwara kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке