17. Jifunze namna ya kuunganisha na KuSet Crossover. 2Way, 3Way, Crossover Point - Benson E. Msechu

Описание к видео 17. Jifunze namna ya kuunganisha na KuSet Crossover. 2Way, 3Way, Crossover Point - Benson E. Msechu

Nimedadavua kwa kina zaidi ili kukujengea uwezo wa kutumia kifaa cha crossover kiusahihi zaidi.

Kitabu cha Kutawala vifaa vyako vya muziki: kanuni zaMsingi sasa Kinapatikana. Weka order kupitia namba yangu wa hapo chini.

Tutakuwa pia na darasa la Kujifunza namna sahihi Ya kutawala vifaa vya Muziki mwisho wa mwezi wa Saba: Tarehe 29-31 July, 2024. Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

Benson Msechu ni Mhandishi, Mkufunzi na Mshauri wa Maswala ya mifumo ya sauti.

Phone +255752025991
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке