15 SABABU ZA KUUNGUZA SPIKA:NGUVU YA UMEME (SPEAKER POWER RMS, PEAK, PROGRAMME, PMPO)- BENSON MSECHU

Описание к видео 15 SABABU ZA KUUNGUZA SPIKA:NGUVU YA UMEME (SPEAKER POWER RMS, PEAK, PROGRAMME, PMPO)- BENSON MSECHU

VIPIMO VYA SPIKA + UWAZO WA SPIKA KUHIMILI NGUVU YA UMEME(POWAR HANDLING OF SPEAKER)

Hapa nimefafanua Nguvu ya Umeme ya Spika(power rating of spika), RMS, Programme Power, Peak Power pamoja na PMPO. wengi huwa wanapoona vipimo hivyo nyuma au mbele ya spika huwa vinawachanganya sana na kushindwa kujua kipi ni sahihi. Nimekufundisha kwa kina tofauti za hivyo vipimo, lakini pia nimekufundisha namna ya kuchagua amplifaya sahihi kwa ajili ya kusukuma spika yako ili kuepuka uunguzaji wa spika wa mara kwa mara.

Ukipenda kujifunza zaidi kuhusu kutawala vifaa vyako vya muziki, unaweza pia kujiunga na group la whatsapp ambapo tuna habarishana zaidi kuhusu tekinolojia za Vifaa vya muziki...unaweza kuni tumia ujumbe wa maneno kwenye whatsapp namba 0752025991

Benson Msechu ni Mwandishi wa kitabu cha Kutawala Vifaa vyako vya Muziki na mmbobezi kwenye tasnia hii ya Vifaa vya Muziki katika kushauri na mafunzo ya namna sahihi ya kuvitawala vifaa vyako.

Mawasiliano
0752025991
[email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке