MBUNGE MUSUKUMA ,MKURUGENZI GEITA WAVUTANA MBELE YA WAZIRI BASHUNGWA

Описание к видео MBUNGE MUSUKUMA ,MKURUGENZI GEITA WAVUTANA MBELE YA WAZIRI BASHUNGWA

Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukumu na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita John Wanga wamejikuta wakibishana mbele ya Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Innocent Bashungwa kuhusu matumizi yasiyo sahihi ya fedha za miradi katika Halmashauri hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке