VISIONARY YOUTH MINISTRY -Semina ya Vijana ,Siku ya kwanza (Mwl.Mgisa Mtebe )

Описание к видео VISIONARY YOUTH MINISTRY -Semina ya Vijana ,Siku ya kwanza (Mwl.Mgisa Mtebe )

VISIONARY YOUTH ORGANIZATION- VYO
MONTHLY SEMINAR SERIES
SOMo: KIJANA TAMBUA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
MWL.MGISA MTEBE
Siku ya Kwanza .

Karibuni sana Vijana wote katika semina hii inayolenga kumjengea misingi kijana kujitambua thamani aliyonayo,na kulitambua kusudi la kiMungu katika Maisha yake .
Semina hii ni kupitia What'sapp group

Karibu wewe kijana katika huduma hii,Ili ukatengeneze Misingi iliyobora na ukaishi kusudi la Mungu .

Unaweza kujiunga nasi au kupata Tarifa zaidi kuhusu VYM na semina hii kupitia:

0746003974-Johanitha Jeremiah (Founder VYO)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке