SOMO :KIJANA TAMBUA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO,Mwl.Mgisa Mtebe

Описание к видео SOMO :KIJANA TAMBUA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO,Mwl.Mgisa Mtebe

VISIONARY YOUTH ORGANIZATION- VYM
MONTHLY SEMINAR SERIES
SOMO: KIJANA TAMBUA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
MWL.MGISA MTEBE
Siku ya Kwanza .

Karibuni sana Vijana wote katika semina hii inayolenga kumjengea misingi kijana kujitambua thamani aliyonayo,na kulitambua kusudi la kiMungu katika Maisha yake .
Semina hii ni kupitia What'sapp group

Karibu wewe kijana katika huduma hii,Ili ukatengeneze Misingi iliyobora na ukaishi kusudi la Mungu .

Unaweza kujiunga nasi au kupata Tarifa zaidi kuhusu VYM na semina hii kupitia:

0764 215 405-Edson Jackson ( VYMoverall coordinator)
0746003974-Johanitha Jeremiah (Founder VYM)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке