JINSI YA KUOMBA NDUGU YAKO ALIYEKUFA ANAPOKUTOKEA KWENYE NDOTO | Prayer Guide | MWL. ISAAC JAVAN

Описание к видео JINSI YA KUOMBA NDUGU YAKO ALIYEKUFA ANAPOKUTOKEA KWENYE NDOTO | Prayer Guide | MWL. ISAAC JAVAN

Umewahi kuota ndugu yako aliyekufa anakutokea kwenye ndoto? Ukiwa kwenye ndoto unamuona anaugua, halafu anakufa tena? Hilo ni jambo la kulifuatilia na kulishughulikia kwa maombi kwa sababu linampa shetani nafasi ya kukushambulia kwenye afya yako na uzima wako.

Katika somo hili, utaenda kupata maelekezo ya kitu cha kufanya ikiwa umekuwa ukisumbuliwa na ndoto za namna hiyo mara kwa mara. Vile vile, utapata muongozo wa maombi wa kukusaidia kujinasua kutoka kwenye madhara ya kiroho yanayotokana na ndoto za namna hiyo.

Mungu Roho Mtakatifu akufungue na kukuweka huru siku ya leo, kwa utukufu wa jina la YESU.

Mungu akubariki na kukutunza. Amen!

Isaac Javan | +255 745 76 45 72 | WhatsApp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке