KILIMO CHA CHIKICHI - MASOKO NA MCHANGANUO WA MAPATO

Описание к видео KILIMO CHA CHIKICHI - MASOKO NA MCHANGANUO WA MAPATO

Je kilimo Cha chikichi kinalipa? Katika ekari 1 ya chikichi ninaweza kupata sh ngapi kwa kuuza mikungu ya chikichi? Nawezaje kuongeza faida badala ya kuuza mikungu ya chikichi niuze mafuta ya mawese na mise ? Bei zikoje? Mashine za kusindika chikichi ili kupata mafuta na mise zipo wapi na gharama zake zikoje ? Na je naweza kupata wanunuzi wa jumla wa mafuta na mise kwenye masoko ya ndani na ya nje ? Nifanyeje kuyafikia MASOKO hayo? Kwa ujumla ndani ya ekari 1 ninaweza kupata mafuta kiasi gani Kwa mwaka ? Na hivyo ni sawa na shilingi ngapi ?
Maswali haya na mengine nitayajibu kwenye makala hii maalum ambayo itakufungua fikra kutoka kuwaza tikiti na kuanza kuwaza chikichi, nitakuonesha mbinu zote za kuongeza thamani katika zao la chikichi na kupiga pesa. Kaa nami hadi mwisho wa kipindi hiki,na kama ndio mara yako ya kwanza tafadhali SUBSCRIBE na bonyeza alama ya kengere ili usipitwe vipindi vingine vingi vijavyo kutoka mashambani.
#kilimobiashara #ajefarms #mashambayanayotyembea #kilimobiashara#smartagriculture #travel #tanzania #animals #africa #chikichiki #mafuta #sukari #umwagiliaji

Комментарии

Информация по комментариям в разработке