KUKU FARM. ILI UPATE FAIDA TENGENEZA CHAKULA MWENYEWE KWA KUKU WA NYAMA(CHOTARA).

Описание к видео KUKU FARM. ILI UPATE FAIDA TENGENEZA CHAKULA MWENYEWE KWA KUKU WA NYAMA(CHOTARA).

Hii video ni maalumu kwa kutoa njia sahihi ya namna ya mfugaji anavyoweza kutumia vyakula vya madukani na vya kutegeza mwenyewe ili aweze kupunguza gharama za uzalishaji katika ufugaji ili kupata faida kubwa kwenya ufugaji wa kuku kibiashara.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке