OPPORTUNITY ZA KAZI UJERUMANI| NILIPATA KAZI UHOLANZI NIKAIPIGA CHINI NA NILIKUA NA VISA MKONONI

Описание к видео OPPORTUNITY ZA KAZI UJERUMANI| NILIPATA KAZI UHOLANZI NIKAIPIGA CHINI NA NILIKUA NA VISA MKONONI

Link ameeleza nia yake ya kutaka kufanya kazi na watu wa kigeni na alivyoweka jitihada zake kuhakikisha anafanikisha ndoto yake
Na hatimaye kuingia kwenye mahusiano na mjerumani.

Kaeleza opportunity zinazotolewa na Wajerumani kikubwa ni kua na Information sahihi tu.

Thank you Link for allowing this to be online
www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке