NILIKATALIWA KUA MWALIMU BONGO NA SASA NI MWALIMU ULAYA | UKIWA NA PAPARA UTAONEKANA NI GOLD DIGGER

Описание к видео NILIKATALIWA KUA MWALIMU BONGO NA SASA NI MWALIMU ULAYA | UKIWA NA PAPARA UTAONEKANA NI GOLD DIGGER

‪@ChrisZLC‬ ameeleza Safari yake ya maisha kutokea Mbeya mpaka Czech Republic
Ameeleza maisha ya kufanya kazi na wazungu, mahusiano nao, na mpaka kuishi Czech Republic

Opportunities zinazopatikana, na mifumo ya maisha.

Please subscribe to his YouTube channel ‪@ChrisZLC‬ ili kujifunza mengi kuhusu Czech Republic na maisha ya ughaibuni - Be inspired

Thank you Chris for allowing this to be online


www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке