Top 3 Bookshops in Dar es Salaam

Описание к видео Top 3 Bookshops in Dar es Salaam

Kusoma vitabu ni moja ya njia nzuri ya kujiongezea maarifa na kujifunza vitu vingi kutoka sehemu mbalimbali duniani. Umeshawahi kujiuliza ni wapi unaweza kupata vitabu unapokuwa Dar es Salaam? Basi katika video ya leo mimi na Viola tunatembelea maduka ya vitabu ambako unaweza kupata vitabu vya kila aina na kwa bei tofauti tofauti.

Asante kwa kuangalia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке