'Sitasahau nilivyokosa nafasi ya uongozi kwa sababu ya ugumba'

Описание к видео 'Sitasahau nilivyokosa nafasi ya uongozi kwa sababu ya ugumba'

Shamila Makwinjula ni mwanzilishi wa chama cha wagumba nchini Tanzania ambapo amewakusanya zaidi ya wagumba na tasa mia tatu wakiwemo wanaume 7 nchini humo kwa lengo la kupinga ukatili na unyanyasaji wanaokutana nao.

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке