NONGWA ZA MSIMU (Ep 3) | Simba bila Chama; Kambi ya Yanga Avic Town; Mashabiki washikana mashati

Описание к видео NONGWA ZA MSIMU (Ep 3) | Simba bila Chama; Kambi ya Yanga Avic Town; Mashabiki washikana mashati

MASHABIKI WASHIKANA MASHATI | Ni Episode ya tatu ya #NongwaZaMsimu iliyoruka Julai 14, 2024 , mashabiki wakivutana mashabiki wakivutana mashati kuhusu mada ya Clatous Chama kuhamia Yanga na mambo yanayojiri kwenye kambi ya Yanga, Avic Town, ambako Singida Black Stars pia wamejichimbia.

Je, Simba bila Chama na Azam bila Dube itakuwaje!!?

Tazama mashabiki walivyochuana... vinara wakiwa ni Mwalimu Yanga na Kisugu wa Simba.

Nongwa za Msimu ni kila Jumapili saa 3:30 usiku na Rais wa Nongwa, Jamal Abbas Doddy.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке