CEO Simba azungumzia mustakabali wa kocha Mgunda na kocha mpya

Описание к видео CEO Simba azungumzia mustakabali wa kocha Mgunda na kocha mpya

“Mwalimu Mgunda yupo sana ndani ya Simba” maneno ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula akizungumzia mustakabali wa kocha Juma Mgunda na ujio wa kocha mpya.

Simba SC ina jambo lake hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

#SimbaSC #SimbaNaJamboLao #Simba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке