Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA

  • ViwandaBiashara TV
  • 2026-02-13
  • 61
KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA
  • ok logo

Скачать KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео KAPINGA: ITHIBATI YA TBS NI SILAHA YA TANZANIA KUSHINDA SOKO LA SADC NA KIMATAIFA

Kupatikana kwa ithibati ya umahiri wa kimataifa katika mfumo wa ukaguzi wa ISO/IEC 17020 ni hatua kubwa itakayoiondolea Tanzania vikwazo vya kiufundi katika biashara. Aidha, ni uthibitisho wa weledi na uadilifu wa Serikali katika kudhibiti ubora, hatua inayoongeza imani ya wadau wa ndani na nje ya nchi kwa bidhaa zinazozalishwa nchini.

Hayo yamesemwa Februari 13, 2026, na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Salvio Kapinga (Mb.), katika hafla ya kihistoria ya kukabidhiwa cheti cha ithibati ya umahiri wa mfumo wa ukaguzi kwa kiwango cha kimataifa (ISO/IEC 17020). Cheti hicho kimetolewa na Taasisi ya SADCAS kwenda kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri Kapinga amesisitiza kuwa umuhimu wa ithibati hiyo unadhihirisha uwezo wa Tanzania kushindana kwenye masoko ya kikanda na kimataifa bila kutiliwa shaka. Mfumo huo wa ISO unahakikisha kuwa shughuli za ukaguzi zinazofanywa na TBS zinakidhi vigezo vya kimataifa, hivyo kurahisisha upatikanaji wa masoko, kuimarisha usalama wa bidhaa kwa ajili ya kulinda afya za walaji, na kukuza uchumi wa Taifa kwa ujumla.

Aidha, Waziri Kapinga amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti uliowezesha kuwepo kwa mazingira bora ya biashara na uwekezaji. Uongozi huo umeimarisha miundombinu ya TBS na mifumo ya udhibiti ili kuhakikisha bidhaa za Kitanzania zinapata thamani stahiki kuelekea mapinduzi ya viwanda na kuimarisha ushindani wa kibiashara.

Vilevile, Waziri ameishukuru Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) kwa ushirikiano wao wa kimkakati huku akiipongeza TBS kwa kupata cheti hicho na kutoa wito kwa watumishi wa TBS na wadau wa sekta binafsi kuilinda ithibati hiyo kwa "wivu mkubwa", uadilifu wa hali ya juu, na uendelevu wa mifumo ya kiutendaji. Hatua hiyo italenga kuvutia uwekezaji na kuhakikisha kuwa Tanzania inabaki kuwa kitovu cha bidhaa bora katika ukanda wa SADC na duniani kote.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Ashura Katunzi, amebainisha kuwa mafanikio hayo ni matunda ya dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kulinda afya ya walaji na kukuza uchumi.

Amebainisha kuwa TBS imekuwa taasisi ya kwanza nchini na ya pili katika ukanda wa Afrika Mashariki kupata ithibati hiyo kutoka SADCAS, ikithibitisha kuwa mifumo ya ukaguzi ya shirika hilo inakidhi vigezo vya kimataifa katika maeneo ya uzalishaji, bandarini na mipakani.

Dkt. Katunzi amefafanua kuwa mchakato huo uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja ulihusisha tathmini za kina zilizokamilika mnamo Oktoba 2025. Alihitimisha kwa kutoa ahadi kuwa TBS itaendelea kuboresha utendaji wake kwa weledi na uadilifu ili kuhakikisha huduma zinazotolewa zinabaki kuwa shindani na zenye viwango vya juu duniani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • TAASISI ZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZATAKIWA KUCHOCHEA UANZISHAJI WA VIWANDA NCHINI
    TAASISI ZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZATAKIWA KUCHOCHEA UANZISHAJI WA VIWANDA NCHINI
    11 дней назад
  • Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
    Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
    2 года назад
  • Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар
    Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар
    6 часов назад
  • Baraza la Wafanyakazi la TBS lazinduliwa kwa mafanikio makubwa
    Baraza la Wafanyakazi la TBS lazinduliwa kwa mafanikio makubwa
    2 недели назад
  • притворился БЕЗДОМНЫМ и сыграл на ДВУХ ГИТАРАХ СРАЗУ и ШОКИРОВАЛ ЛЮДЕЙ
    притворился БЕЗДОМНЫМ и сыграл на ДВУХ ГИТАРАХ СРАЗУ и ШОКИРОВАЛ ЛЮДЕЙ
    15 часов назад
  • KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA
    KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA
    4 года назад
  • 1 апреля 2026 - авторынок РФ изменится навсегда
    1 апреля 2026 - авторынок РФ изменится навсегда
    16 часов назад
  • Wizara ya Viwanda na Biashara inaendelea kutekeleza majukumu ya kuendeleza Viwanda na Biashara.
    Wizara ya Viwanda na Biashara inaendelea kutekeleza majukumu ya kuendeleza Viwanda na Biashara.
    3 недели назад
  • BARABARA YA ZEGE BORA DUNIANI YAPATIKANA LUDEWA DC
    BARABARA YA ZEGE BORA DUNIANI YAPATIKANA LUDEWA DC
    3 года назад
  • 💣Срочно! ПЕРЕЛОМ НА ФРОНТЕ. ВОЙСКА РФ УХОДЯТ НА НОВОЕ НАПРАВЛЕНИЕ. Жданов: это разрежет ОБОРОНУ ВСУ
    💣Срочно! ПЕРЕЛОМ НА ФРОНТЕ. ВОЙСКА РФ УХОДЯТ НА НОВОЕ НАПРАВЛЕНИЕ. Жданов: это разрежет ОБОРОНУ ВСУ
    4 часа назад
  • TBS yatambuliwa kimataifa kupitia Cheti cha Umahiri cha WCO
    TBS yatambuliwa kimataifa kupitia Cheti cha Umahiri cha WCO
    1 месяц назад
  • 24 часа в ХУДШЕМ ПОЕЗДЕ в Китае! Что внутри?
    24 часа в ХУДШЕМ ПОЕЗДЕ в Китае! Что внутри?
    19 часов назад
  • DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA
    DC LUDEWA ATOA MAJIBU JUU YA BARABARA YA LUSITU, MADILU HADI ILININDA
    11 месяцев назад
  • ⚡️НОВОСТИ | ВЗРЫВ ПОД МОСКВОЙ | МОЩНЫЙ ПОЖАР | ПУТИН ПРОТИВ ТЕЛЕГРАМА | МОЛИТВА О ТРАМПЕ
    ⚡️НОВОСТИ | ВЗРЫВ ПОД МОСКВОЙ | МОЩНЫЙ ПОЖАР | ПУТИН ПРОТИВ ТЕЛЕГРАМА | МОЛИТВА О ТРАМПЕ
    2 часа назад
  • *TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KURAHISISHA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO*
    *TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KURAHISISHA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO*
    1 год назад
  • ⚡️ГАЛЛЯМОВ: Срочно! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ Ирана на атаку Азербайджана. БРЕД и УГРОЗЫ: Путин теряет КОНТРОЛЬ
    ⚡️ГАЛЛЯМОВ: Срочно! ПЕРВАЯ РЕАКЦИЯ Ирана на атаку Азербайджана. БРЕД и УГРОЗЫ: Путин теряет КОНТРОЛЬ
    16 часов назад
  • Ithibati ya umahiri kuing'arisha Tanzania masoko ya kikanda na kimataifa
    Ithibati ya umahiri kuing'arisha Tanzania masoko ya kikanda na kimataifa
    2 недели назад
  • KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL
    KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL
    1 год назад
  • NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA
    NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA
    1 год назад
  • ⚡️СРОЧНО! Москва ОБЪЯВИЛА ПРО ПОРАЖЕНИЕ после АТАКИ Трампа! Гневное ЗАЯВЛЕНИЕ Лаврова. Важное 06.03
    ⚡️СРОЧНО! Москва ОБЪЯВИЛА ПРО ПОРАЖЕНИЕ после АТАКИ Трампа! Гневное ЗАЯВЛЕНИЕ Лаврова. Важное 06.03
    3 часа назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com