Tid alivyotoa ushuhuda wa matumizi ya madawa ya kulevya mbele ya Makonda

Описание к видео Tid alivyotoa ushuhuda wa matumizi ya madawa ya kulevya mbele ya Makonda

Msanii wa muziki wa bongo fleva maarufu kama Tid aka Mnyama ametoa ushuhuda mbele ya Mkuu wa mkoa Paul Makonda na Igp Kamanda Sirro akisema hata rudia tena kutumia Madawa ya kulevya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке