IBADA MAALUM: NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI JUU YA MAHUSIANO NA UCHUMI - MIFUPA MIKAVU, ISHI

Описание к видео IBADA MAALUM: NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI JUU YA MAHUSIANO NA UCHUMI - MIFUPA MIKAVU, ISHI

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee na ya kwanza kabisa ya MAHUSIANO NA UCHUMI kwa mwaka 2023. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 19 Februari 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "MIFUPA MIKAVU ISHI" kutoka kitabu cha Ezekieli 37:5, "Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi"

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке