Chalamila Awacharukia Wafanyabiashara wa Kariakoo, Apiga Biti Wale Watakaowazuia Waliofungua Maduka

Описание к видео Chalamila Awacharukia Wafanyabiashara wa Kariakoo, Apiga Biti Wale Watakaowazuia Waliofungua Maduka

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa Serikali haifanyi kazi kwa mashinikizo wakati akiongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo ambao wengi wao hawajafungua Maduka leo Juni 24, 2024, ikiwa ni utekelezaji wa Mgomo wao wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Serikali kwa ujumla.

Mgomo huo ulitangazwa kupitia vipeperushi kilichosambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii tangu Jumamosi Juni 22, 2024

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке