Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??),

  • Dr. Mwanyika
  • 2020-09-20
  • 53837
Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??),
  • ok logo

Скачать Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??), бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??), или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??), бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Mama mjamzito tumbo kujaa gesi (Vitu gani husababisha,Vichochezi na unaondokanaje na hali hiyo??),

Mama mjamzito kupata shida ya tumbo kujaa gesi husababishwa na mambo mawili;

A. Mabadiliko ya homoni au Uongezeko la homoni ya Progesterone ambayo hulegeza misuli ya mfumo wa chakula kwa mfano utumbo mpana ambapo hufanya chakula kukaa kwa muda mrefu bila kumeng'enywa matokeo yake vijidudu( Bakteria) huvamia na kumeng'enya chakula na kutengeneza Gesi na kusababisha Kuongezeka kwa gesi tumboni!

B. Kumeza hewa hususani wakati wa kunywa maji kupitia kopo au kula vitu vigumu kwa mfano Candies, hii husababisha gesi kuongezeka tumboni au hata kwenye utumbo mpana.

Mambo ya kufanya ili kupunguza Gesi tumboni kwa Mama mjamzito!

1. Achana na vyakula ambavyo vinaongeza gesi mwilini kwa mfano Cabbage,Broccoli, Cauliflower na mimea jamii ya maharage!

2. Achana na vinywaji vilivyosindikwa vinaongeza gesi mwilini kwa mfano soda.

3. Achana na Vyakula vyenye mafuta na wanga kwa wingi

4. Achana na vyakula ambavyo vinatokana na mazao ya maziwa endapo huwa una allergy na maziwa!

5. Jenga tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara au hata kutembea tembea.

6. Achana na tabia ya kuvuta sigara!

7. Achana na tabia ya kunywa pombe!

8. Kunywa Maji baada ya kula chakula.

9. Kula chakula kidogo kidogo yani usile chakula kingi kwa wakati mmoja!

10. Usinywa maji kwa kopo ambapo utasababisha kumeza hewa!

NB;Ukiwa unaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
   / dr.mwanyika  
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#AfyaBora
#JapideAfya_Services
#GesiTumboni

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    23 часа назад
  • Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).
    Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).
    3 года назад
  • Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    4 года назад
  • BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    1 день назад
  • Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?
    Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?
    4 года назад
  • Начало большой войны / Ликвидация главнокомандующего армией
    Начало большой войны / Ликвидация главнокомандующего армией
    1 час назад
  • Kiungulia kwa Mjamzito husababishwa na nini!??? | Mjamzito fanya mambo haya ili kupunguza Kiungulia!
    Kiungulia kwa Mjamzito husababishwa na nini!??? | Mjamzito fanya mambo haya ili kupunguza Kiungulia!
    5 лет назад
  • Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????
    Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????
    5 лет назад
  • Je Tumbo la Mjamzito huanza kuonekana lini? | Mambo gani hupelekea Tumbo kubwa wakati wa Ujauzito?
    Je Tumbo la Mjamzito huanza kuonekana lini? | Mambo gani hupelekea Tumbo kubwa wakati wa Ujauzito?
    4 года назад
  • Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!
    Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!
    2 года назад
  • Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?)
    Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?)
    3 года назад
  • США устранили верхушку Ирана? Трамп призвал иранцев восстать. Путин не поможет / Выпуск новостей
    США устранили верхушку Ирана? Трамп призвал иранцев восстать. Путин не поможет / Выпуск новостей
    Трансляция закончилась 1 минуту назад
  • JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    4 года назад
  • Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    4 года назад
  • США и Израиль ударили по Ирану. Главные подробности / Спецэфир
    США и Израиль ударили по Ирану. Главные подробности / Спецэфир
    Трансляция закончилась 5 часов назад
  • Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    3 года назад
  • Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).
    Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).
    5 лет назад
  • ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНО: ВОЙНА В ИРАНЕ | ВЗРЫВ В МОСКВЕ | ЧП С САМОЛЕТОМ АЭРОФЛОТА | ЗАДЕРЖКИ СТИПЕНДИИ
    ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНО: ВОЙНА В ИРАНЕ | ВЗРЫВ В МОСКВЕ | ЧП С САМОЛЕТОМ АЭРОФЛОТА | ЗАДЕРЖКИ СТИПЕНДИИ
    6 часов назад
  • Руслан Левиев: Четыре года войны | Как менялась армия России (English Subtitles)
    Руслан Левиев: Четыре года войны | Как менялась армия России (English Subtitles)
    8 часов назад
  • Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito).
    Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito).
    3 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com