AIC Chang'ombe Choir (CVC) - NARUDI KUKUSHUKURU (Official Live Video)

Описание к видео AIC Chang'ombe Choir (CVC) - NARUDI KUKUSHUKURU (Official Live Video)

#NARUDI KUKUSHUKURU , ni wimbo wa Sita katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, MUNGU ametuvusha na mambo mengi tunapaswa kurudisha sifa kwake.
MUNGU AKUBARIKI.

LYRICS
NARUDI
(Narudi) kukushukuru
BWANA wangu
mwokozi wangu
pokea sifa za moyo wangu,
(Narudi) kukushukuru
Mtakatifu, Elishadah mioyo yetu inakupa sifa,
(Narudi) kukushukuru
Na ahimidiwe mwamba wangu,
Bwana ndiye aliye hai
Amenitendea mambo makuu
yasiyo hesabika
Bwana ndiye ngome yangu na wokovu wangu
(Ndiyo maana ninarudi kumshukuru)
Naye huwaongoza wakamilifu wa mioyo,
(Iyelee eeh..Iiiihyelelee)
Nitakwenda mbele za BWANA,
Kwa moyo wa shukurani
Matendo mengi mema amefanya
lazima nimshukuru,
Narudi kumshukuru
Amefanya kwa wingi siwezi kueleza
BWANA ndiye wokovu wangu, Na ngome ya wokovu wangu
Ametenda Zaidi siwezi kueleza,
BWANA ndiye wokovu wangu
Na ngome ya wokovu wangu..
Bwana ndiye ngome yangu na wokovu wangu
(Ndiyo maana ninarudi kumshukuru)
Naye huwaongoza wakamilifu wa mioyo
(Iyelee eeh..Iiiihyelelee)
BWANA unapendezwa na wenye moyo wa shukurani
Shukurani (Shukurani),
Leo ndiyo maana nimerudi
kuja kukushukuru
Kushukuru (Kushukuru),
Pokea BABA shukrani zangu ,
Asante eeh (Asante)
Nimerudi kwako..kuja kukushukuru,
Asante eeh (Asante) Asante


Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje

CREDITS.
Song writer - Jeremia Madaha
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)

MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Jeremia Madaha (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)

Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

Комментарии

Информация по комментариям в разработке