'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'

Описание к видео 'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'

Ambwene Yesaya @aytanzania Ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kufanya muziki wa hip hop kuwa biashara nchini Tanzania na kufanikiwa kufanya kazi na wanamuziki wakubwa kama @psquareworld, Miss Trinity, Sean Kingston, Romeo na wengine wengi.

Amezungumza na @rmziwanda_official kuhusu masuala mbalimbali ya muziki

🎥: @jesswapele @frankmavura

#bbcswahili #tanzania #muziki

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке