35. MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI | HISTORIA YA MAISHA | DELIVERANCE | MWL. ISAAC JAVAN

Описание к видео 35. MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI | HISTORIA YA MAISHA | DELIVERANCE | MWL. ISAAC JAVAN

MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI || HISTORIA YA MAISHA
Huu ni muendelezo wa somo la MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO. Katika siku ya leo tunafanya maombi maalum ya kufungua matumbo ya uzazi ya wanawake.

Tumbo la uzazi ni eneo ambalo shetani analiwinda sana, kwa sababu ndiyo mlango ambao Mungu ameuchagua wa kupitisha watu kuja duniani. Lakini katika maombi ya leo, tunaenda kumg'oa shetani na vyote alivyoviweka kwenye tumbo la uzazi la mwanamke.

Ninaamini Mungu anaenda kufanya kitu kwa ajili yako, na kwa jina la YESU unaenda kuwekwa huru. Mungu akubariki sana. Mshirikishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na maombi haya.

Isaac Javan

Комментарии

Информация по комментариям в разработке