ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

EZEKIELI
22:24-2524.

Mwanadamu, uiambie nchi, Wewe u nchi isiyotakasika, wala kunyeshewa mvua siku
ya ghadhabu.

5.Fitina ya manabii wake imo ndani yake, kama simba angurumaye akirarua mawindo; wamekula
roho za watu; hutwaa kwa nguvuhazina na vitu vya thamani; wameongeza idadi ya wajane wake
ndani yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке