Mtu mmoja afariki maji Mombasa alipokuwa akivuka bahari

Описание к видео Mtu mmoja afariki maji Mombasa alipokuwa akivuka bahari

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Mikindani huko Changamwe kaunti ya Mombasa kufuatia kifo cha mtu mmoja huku wengine 9 wakinusurika kifo baada ya boti lao kupinduka baharini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке