Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu

  • WikiElimu
  • 2026-02-15
  • 68
UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu
  • ok logo

Скачать UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu

Katika video hii inazungumza kuhusu sababu, dalili, matibabu, namna ya kuzuia, matarajio baada ya matibabu ya UGUMBA/UTASA , endelea angalia mpaka mwisho kujifunza

Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke.
• Ugumba umegawanywa katika makundi mawili:
o Ugumba wa awali (primary infertility) - Hawa ni wanandoa ambao wajamiana bila kinga kwa angalau mwaka mzima na hawapati ujauzito
o Ugumba unaotokea baadae (secondary infertility) – Hawa ni wanandoa waliowahi kupata ujauzito angalau mara moja lakini hawajapata mwingine tena baada ya muda mrefu japo wanafanya juhudi za kupata.
Kwa wanandoa walio chini ya umri wa miaka 30 wenye afya njema wanaojamiiana mara kwa mara, wana asilimia 25 - 30% kwa mwezi ya kupata ujauzito.
Mwanamke anafikia kilele cha rutuba ya kuzaa mwanzoni mwa miaka 20. Baada ya umri wa miaka 35 (na hasa 40), nafasi ya mwanamke kupata mimba inapungua sana.
Kushindwa kushika mimba ni jambo linalosababisha hisia kali za uchungu na kujilaumu – sio tu kwa mwanamke – hata mwanaume. Jambo ambalo linasababisha wapenzi wengi kujaribu kutafuta sababu ni nini?
Nini sababu ya ugumba?
Ugumba unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali ya kimwili na kihisia. Ugumba unaweza kusababishwa na matatizo kwa mwanamke, mwanaume, au wote wawili.
UGUMBA KWA WANAWAKE:
• Unaweza kutokea kwa sababu ya matatizo kwenye mfumo wa uzazi – ovary hazitoi mayai, mayai yakitolewa yanashindwa kusafiri kwenda kwenye mji wa mimba au kiinitete kikitengeneza kinashindwa kujipandikizwa kwenye mji wa mimba na kukua.
• Sio hayo tu – matatizo mengine ya kimwili pia yanaweza kuchangia – saratani au uvimbe kwenye mji wa mimba, ugonjwa wa kisukari, kufanya mazoezi kupita kiasi, kupata lishe duni, kunywa pombe sana, Uzito mkubwa sana wa mwili, umri mkubwa sana zaidi ya miaka 40, maambukizi ya via vya uzazi (PID), Makovu yanayotokana na magonjwa ya zinaa, homoni pungufu mwilini n.k.
UGUMBA KWA WANAUME:
• Ugumba kwa wanaume unaweza pia kutokea kwa sababu ya matatizo kwenye mfumo wake wa uzazi – manii yanayotengenezwa hayatoshi, yanashindwa kutoka nje au yanakosa ubora unaofaa kutengeneza mtoto.
• Mtatizo haya ya kupungua wingi na ubora wa manii ya wanaume yanasababishwa na sababu zifuatazo:
o Kuzaliwa na matatizo haya ya uzazi - hanithi
o Umri mkubwa (uzee)
o Uchafuzi wa mazingira – plastiki ziko mpaka kwenye maji na zinaathiri manii
o Kukaa katika eneo lenye joto kali kwa muda mrefu
o Matumizi mabaya ya pombe, sigara, bangi au kokeini
o Makovu kwenye mirija inayobeba manii kwa sababu ya magonjwa ya zinaa, upasuaji au kuumia kwenye via vya uzazi
o Homoni kidogo au nyingi sana mwilini
o Matumizi ya madawa fulani, kama vile cimetidine, spironolactone, na nitrofurantoin
Wakati gani utafute matibabu ya haraka?
Ni vizuri mkafanya maamuzi ya kuonana na daktari kama mmejaribu kupata mimba kwa zaidi ya mwaka bila mafanikio.
Utambuzi
Ukifika kwa daktari atachukua historia yako, atakufanyia uchunguzi wa mwili na kuagiza ufanyiwe vipimo.
• Kwa wanawake anaweza kufanya”
o Vipimo vya damu kuangalia viwango vya homoni za uzazi progesterone na homoni za kuchochea mayai kutolewa “Follicle stimulating hormone”
o Anaweza pia, kuingiza kamera ndogo kwenye mji wa mimba na mirija ya uzazi ili kuichunguza (Hysterosalpingography)
o Ultrasound ya nyonga
o Kuchunguza mkojo kuangalia lutenizining hormone (hii hutabiri kama yai limetolewa tayari kwa ajili ya kurutubishwa)
• Kwa wanaume - Kupima ubora na wingi wa manii


Emmanuel Mniko #mniko #wikielimu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • HOMA YA DENGE (Dengue): Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    HOMA YA DENGE (Dengue): Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    2 недели назад
  • ⚡️ Тело Али Хаменеи найдено || Массовые протесты | Путин вступается за Иран
    ⚡️ Тело Али Хаменеи найдено || Массовые протесты | Путин вступается за Иран
    10 часов назад
  • UNYANYASAJI WA KINGONO WA WATOTO: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    UNYANYASAJI WA KINGONO WA WATOTO: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    11 дней назад
  • Как всё началось и что будет после смерти лидера Ирана. #иран
    Как всё началось и что будет после смерти лидера Ирана. #иран
    3 часа назад
  • IYUMVIRE NAWE UMWANZI W'ABAGORE BOSE BATWITE😭😭😭😭. MENYA IBIGUHIGA MUGIHE UTWITE UTANDUKANE NABYO
    IYUMVIRE NAWE UMWANZI W'ABAGORE BOSE BATWITE😭😭😭😭. MENYA IBIGUHIGA MUGIHE UTWITE UTANDUKANE NABYO
    8 дней назад
  • TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    2 недели назад
  • Hii Ndo Lishe Sahihi — Jumuisha Vyakula Hivi Kuanzia Leo 🥑✅
    Hii Ndo Lishe Sahihi — Jumuisha Vyakula Hivi Kuanzia Leo 🥑✅
    5 дней назад
  • Чё Происходит #314 | США и Израиль напали на Иран, Дубай в огне, цены на нефть в космосе.
    Чё Происходит #314 | США и Израиль напали на Иран, Дубай в огне, цены на нефть в космосе.
    2 часа назад
  • UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia
    UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia
    8 дней назад
  • Убит диктатор | В Иране перемены (English subtitles)
    Убит диктатор | В Иране перемены (English subtitles)
    5 часов назад
  • ⚡️НОВОСТИ | АЯТОЛЛА УБИТ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ: ЛЮДИ ПОД ЗАВАЛАМИ | СТРЕЛЬБА ПО ДЕМОНСТРАНТАМ В ПАКИСТАНЕ
    ⚡️НОВОСТИ | АЯТОЛЛА УБИТ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ: ЛЮДИ ПОД ЗАВАЛАМИ | СТРЕЛЬБА ПО ДЕМОНСТРАНТАМ В ПАКИСТАНЕ
    2 часа назад
  • Kuzidi Kwa Hormone Ya Prolactin Kunavyosababisha Ugumba Kwa Mwanamke
    Kuzidi Kwa Hormone Ya Prolactin Kunavyosababisha Ugumba Kwa Mwanamke
    3 недели назад
  • VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia
    VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia
    5 дней назад
  • MTOTO NJITI (Amewahi kuzaliwa): Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    MTOTO NJITI (Amewahi kuzaliwa): Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    2 дня назад
  • ⚡️Трамп ИЗМЕНИЛ РЕШЕНИЕ по Путину! Внезапно обратился к Москве. В Кремле СРОЧНОЕ СОБРАНИЕ –  ШИРЯЕВ
    ⚡️Трамп ИЗМЕНИЛ РЕШЕНИЕ по Путину! Внезапно обратился к Москве. В Кремле СРОЧНОЕ СОБРАНИЕ – ШИРЯЕВ
    3 часа назад
  • 🔴 СРОЧНО АЯТОЛЛА ХАМЕНЕИ ЛИКВИДИРОВАН, ВОЙНА РАСШИРЯЕТСЯ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО АЯТОЛЛА ХАМЕНЕИ ЛИКВИДИРОВАН, ВОЙНА РАСШИРЯЕТСЯ #новости #одиндень
    8 часов назад
  • НЕБЕНЗЯ -
    НЕБЕНЗЯ - "Я щирый украинец..." от слова ЩИ 😂 [Пародия]
    2 часа назад
  • Иран ударил по ОАЭ, Катару, Бахрейну и Кувейту. Аэропорты закрыты, что будет дальше?
    Иран ударил по ОАЭ, Катару, Бахрейну и Кувейту. Аэропорты закрыты, что будет дальше?
    14 часов назад
  • Хаменеи убит. Взрывы в Дубае. Что происходит в Иране. Спецэфир
    Хаменеи убит. Взрывы в Дубае. Что происходит в Иране. Спецэфир
    Трансляция закончилась 2 часа назад
  • AfyaMaskani#E1 Unaelewa nini kuhusu Changamoto ya Afya ya akili - #Maskani na Dr. Anold Aligawesa
    AfyaMaskani#E1 Unaelewa nini kuhusu Changamoto ya Afya ya akili - #Maskani na Dr. Anold Aligawesa
    6 дней назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com