Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia

  • WikiElimu
  • 2026-02-12
  • 191
TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
  • ok logo

Скачать TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia

Katika video hii inazungumza kuhusu sababu, dalili, matibabu, namna ya kuzuia, matarajio baada ya matibabu ya TATIZO LA NGIRI, endelea angalia mpaka mwisho kujifunza

Hapa tutaongea kuhusu ngiri – najua kwamba kuna mkanganyiko wa maana ya hili neno Ngiri. Wapo watu wanaoita Mabusha ngiri maji – kuhusu ngiri maji au mabusha, angalia tunayo video nyingine inayoyaongea.
Kwa watu wengi, Ngiri ni uvimbe unaotokea kwenye kitovu, tumboni, kwenye sehemu ya juu ya paja au kwenye mkato wa upasuaji. Ngiri (hernia) ni uvimbe unatokana na kuchoropoka na kutokeza nje kwa viungo vya ndani ya tumbo kwa sababu ya uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo. Ukuta wa tumbo umeundwa na safu imara ya kiwambo kinachoitwa fascia ambacho kinaifunga pamoja misuli ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kulinda na kuzuia vinavyopaswa kuwa ndani ya tumbo vibaki ndani.
Sasa, kama kuna udhaifu wa hiki kiwambo – viungo vya ndani ya tumbo kama utumbo – vinaweza kuchoropoka na kutokeza juu ya paja, kinena au kwenye kitovu – kwa wale waliofanyiwa upasuaji wa tumbo – kama misuli ya tumbo haitapona vizuri unaweza pia kupata ngiri kwenye kovu la upasuaji.

Je! Nini dalili za ngiri?
Ukiwa na uvimbe unaosababishwa na ngiri mara nyingi hausababishi shida yoyote. Hata hivyo, kuna wakati mwingine unaweza kujisikia vibaya au kuhisi maumivu. Unajihisi vibaya zaidi ukijinyoosha, ukijikamua, au ukiinua vitu vizito.
Ni kweli kwamba mara nyingi ngiri haisababishi usumbufu mkubwa kwa mtu, lakini inaweza kukua mpaka kuanza kukandamizwa na upenyo ilikopitia, kama ikikandamizwa sana – damu inaweza kuanza kushindwa kutembea vizuri na hivyo kuleta shida. Kama hali hii ikikutokea, utahishi maumivu makali na utahitaji upasuaji wa dharura ili kunasua sehemu iliyobana.

Ngiri husababishwa na nini?
Kwa watu wengi sababu ya ngiri haifahamiki. Mtu anaweza kuzaliwa na ngiri ila asijue – uvimbe ukaanza kuonekana baada ya miaka mingi – labda baada ya kuanza kubeba vitu vizito sana au kukohoa sana au kujikamua sana chooni – vitu vyote hivi vinaongeza shinikizo ndani ya tumbo na kusukuma vilivyomo ndani ya tumbo kwenda nje. Kuna baadhi ya watu, ngiri inapatikana kwenye familia yao.
Wapo watoto wanaozaliwa na ngirii. Hii inatokea kwa sababu ukuta unaofunika viungo vya tumbo unashindwa kufunga vizuri kabla ya kuzaliwa. Karibu watoto 5 kati ya 100 wana ngiri inayotokea kwenye kinena (wavulana zaidi kuliko wasichana). Kuna watoto ambao wanaweza wasipate dalili yoyote mpaka utu uzima.

Kama nilivyosema kabla, shughuli yoyote au tatizo lolote linaloongeza shinikizo/presha kwenye tishu za ukuta wa tumbo na misuli linaweza kusababisha ngiri ikatokea:
• Kufunga choo kwa muda mrefu - kunasababisha mgonjwa kujikamua sana ili kupata kinyesi.
• Kikohozi sugu.
• Uvutaji wa sigara.
• Kuongezeka kwa ukubwa wa tezi dume -kunasababisha mtu kujikamua sana ili kukojoa
• Unene au uzito mkubwa.
• Kuinua vitu vizito.
Wakati gani utafute matibabu ya ngiri haraka?
Kama nilivyosema awali, kwa watu wengi ngiri haisababishi shida yoyote, lakini kuna mambo ukiyaona inabidi uonane na dakatari kwa matibabu. Kama:
• Una ngirii inayouma na vilivyomo kwenye uvimbe haviwezi kusukumwa na kurudishwa polepole tumboni kwa kidole
• Una kichefuchefu, unatapika, au homa pamoja na ngirii inayouma.
• Una ngirii ambayo imekuwa nyekundu, zambarau, nyeusi, au yenye rangi isiyoelezeka.
• Una maumivu kwenye kinena na uvimbe.
• Una uvimbe kwenye kinena au kitovu, au kwenye eneo ulilofanyiwa upasuaji.
Utambuzi
Ukifika kwa daktari atakufanyia uchunguzi wa mwili na kuiona ngiri kama inaongezeka ukubwa akikohoa, akijikunja, akiinua, au kujikamua.

Kwa watoto wachanga, ngiri inaweza isionekane dhahiri, lakini mtoto akilia au kukohoa inaonekana. Katika baadhi ya wagonjwa, ultrasound inaweza kuhitajika kuangalia kama kuna ngiri.
Uchaguzi wa matibabu ya ngiri
Upasuaji ndio tiba pekee inayoweza kurekebisha ngiri.
Kwa ngiri ndogo ambayo haisababishi shida yoyote kwa mgonjwa, tunaweza kuiacha kwanza na kuiangalia kwa muda kabla ya kuamua kufanya upasuaji. Kama tunavyojua, upasuaji wowote una athari, kwa hiyo upasuaji utafanyika kama kuna ulazima.

Upasuaji mara nyingi unafanyika kwa ngiri ambayo inaongezeka ukubwa na kusababisha maumivu. Upasuaji unafanyika kurudisha ndani viungo vilivyochoropoka na kuziba au kuimarisha ukuta wa tumbo kwa wavu maalumu ili visitoke tena nje.

Kwa watoto ambao wana kitovu kikubwa kinachosababishwa na ngiri inayotokea kwenye kitovu (umblical) – kama haijaziba yenyewe mpaka mtoto anapofikisha umri wa miaka 5 – mtoto anapaswa kufanyiwa upasuaji kuirekebisha.


Emmanuel Mniko #mniko #wikielimu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • ⚡️НОВОСТИ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ И ИЗРАИЛЮ | ИРАН ОБЪЯВИЛ ДЖИХАД | ОБРАЩЕНИЕ ПУТИНА |ПЕРЕКРЫТ ТРАФИК НЕФТИ
    ⚡️НОВОСТИ | УДАРЫ ПО ДУБАЮ И ИЗРАИЛЮ | ИРАН ОБЪЯВИЛ ДЖИХАД | ОБРАЩЕНИЕ ПУТИНА |ПЕРЕКРЫТ ТРАФИК НЕФТИ
    3 часа назад
  • 4 рыбы, которые медленно убивают после 60 — и 4 лучшие для долголетия | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ
    4 рыбы, которые медленно убивают после 60 — и 4 лучшие для долголетия | БЕРЕГИ ЗДОРОВЬЕ
    3 дня назад
  • UNYANYASAJI WA KINGONO WA WATOTO: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    UNYANYASAJI WA KINGONO WA WATOTO: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia
    11 дней назад
  • UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu
    UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu
    13 дней назад
  • MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO: sababu na Nini cha kufanya
    MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO: sababu na Nini cha kufanya
    4 года назад
  • Sababu, dalili na matibabu ya saratani ya utumbo mpana.
    Sababu, dalili na matibabu ya saratani ya utumbo mpana.
    8 дней назад
  • Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    2 дня назад
  • Не рыдать и истерить, а понимать и готовиться! К чему и как? - Послесловие-2
    Не рыдать и истерить, а понимать и готовиться! К чему и как? - Послесловие-2
    8 часов назад
  • КОТРИКАДЗЕ:
    КОТРИКАДЗЕ: "Скажу как есть – да простят меня чувствительные люди". Что вышло с Ираном,ставка Трампа
    2 часа назад
  • НЕВИДАННЫЙ СКАНДАЛ В ООН! Иран НАБРОСИЛСЯ на Израиль и США (ВИДЕО). Зал ПРИТИХ: это НУЖНО ВИДЕТЬ
    НЕВИДАННЫЙ СКАНДАЛ В ООН! Иран НАБРОСИЛСЯ на Израиль и США (ВИДЕО). Зал ПРИТИХ: это НУЖНО ВИДЕТЬ
    5 часов назад
  • UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia
    UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia
    8 дней назад
  • Пятна На Коже - Конец Поджелудочной? КАК ПРОВЕРИТЬ ТЕЛО? Доктор Мясников
    Пятна На Коже - Конец Поджелудочной? КАК ПРОВЕРИТЬ ТЕЛО? Доктор Мясников
    1 день назад
  • 🔴#LIVE : [01.03.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)
    🔴#LIVE : [01.03.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)
  • VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia
    VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia
    5 дней назад
  • Это новая зависимость. Хуже сигарет!
    Это новая зависимость. Хуже сигарет!
    1 час назад
  • ПОРТНИКОВ:
    ПОРТНИКОВ: "Все может быть хуже". Что (не)так с ударом по Ирану, чего ждет Путин, Украина, МИР ВСЕ?
    5 часов назад
  • KUVIMBA KIDOLE TUMBO/KIBOLE (Appendicitis): Sababu, Dalili, Matibabu
    KUVIMBA KIDOLE TUMBO/KIBOLE (Appendicitis): Sababu, Dalili, Matibabu
    4 дня назад
  • DEGEDEGE: Sababu, huduma ya Kwanza
    DEGEDEGE: Sababu, huduma ya Kwanza
    3 дня назад
  • СРОЧНО! ХАМЕНЕИ УБИТ ! КОНЕЦ КРОВАВОГО РЕЖИМА В ИРАНЕ !
    СРОЧНО! ХАМЕНЕИ УБИТ ! КОНЕЦ КРОВАВОГО РЕЖИМА В ИРАНЕ !
    5 часов назад
  • ЖИРОВОЙ ГЕПАТОЗ: Как спасти свою ПЕЧЕНЬ?
    ЖИРОВОЙ ГЕПАТОЗ: Как спасти свою ПЕЧЕНЬ?
    6 часов назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com