PRAISE TV: KWAYA YA VIUMBE VYOTE DOCUMENTARY PART 1

Описание к видео PRAISE TV: KWAYA YA VIUMBE VYOTE DOCUMENTARY PART 1

Kanisa la Kwaya ya Viumbe vyote Bara bara ya 13 ulyankulu lilianza kwaka 1973 na nyimbo zote zilitungwa chini ya Mtunzi PETER.N. MAYUNGU ambae pia ni mwenye kiti wa kwaya hiyo pamoja na Msaidizi kwake kipindi hicho ajulikanae kwa jina EDMOND. H KOSANI ambae kwa sasa ni mwalimu kwaya hii ni maarufu kwa nyimbo kama SAMSONI NA DELILAH, KATIKA VIUMBE VYOTE, WAKATI WA NUHU na zingine nyingi

NB. TAFADHALI DROPE KOMENT YAKO NA UTUKUMBUSHE ULIKUWA WAPI KIPINDI HICHO ...UBARIKIWE SANA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке