Watalii wa Ukraine waliokwama Zanzibar watafuta makazi ya muda.

Описание к видео Watalii wa Ukraine waliokwama Zanzibar watafuta makazi ya muda.

Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu kuanza kwa vita kati ya Urusi na Ukraine, baadhi ya watalii kutoka nchini Ukraine ambao awali walikuwa wamekwama Zanzibar, nchini Tanzania, huku wakiwa na matarajio ya kwenda nchi za ulaya, hivi sasa wameamua kutafuta makazi ya muda wakisema kuwa wanajihisi wapo salama zaidi Zanzibar kuliko nchi nyengine za ulaya.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau ametembelea kisiwani humo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

#bbcswahili #tanzania #zanzibar

Комментарии

Информация по комментариям в разработке