Kiongozi wa genge la Kibokoni anaswa akiwa na panga huko Mombasa

Описание к видео Kiongozi wa genge la Kibokoni anaswa akiwa na panga huko Mombasa

Polisi wamemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa kiongozi wa genge la Kibokoni Panga boys baada ya kupokea tarifa kuhusu alikokuwa jamaa huyo. Polisi walimkamata Abdulkadir Mohamed alipokuwa akitazama mechi ya kandanda uwanjani mjini humo. Mshukiwa huyo alipatikana akiwa ameficha panga ndani ya nguo alizokuwa amevaa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке