YANGA IKULU: Hotuba kamili ya Rais Samia akiwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya CAF CC

Описание к видео YANGA IKULU: Hotuba kamili ya Rais Samia akiwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya CAF CC

Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Yanga katika chakula cha jioni Ikulu Dar es Salaam, lengo likiwa ni kuwapongeza kwa kucheza fainali ya #CAFConfederationCup

Katika hotuba yake, Rais Samia amejibu maombi ya Yanga kuhusu ardhi, ameitaka Yanga kumalizana na Feisal Salum Feitoto, amewataka Simba na Yanga kuwa kitu kimoja katika suala la Kimataifa, amefichua jambo kuhus Wallace Karia akisema "...ni Simba", ameweka wazi mipango ya serikali kuhusu michezo, na mengine mengi...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке