BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji

Описание к видео BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке