Dakika 215 za Yusuph Manji kujitetea kesi ya dawa za kulevya leo

Описание к видео Dakika 215 za Yusuph Manji kujitetea kesi ya dawa za kulevya leo

Mfanyabiashara Yusuf Manji ametumia dakika 215 ambazo ni zaidi ya saa tatu kujitetea katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mbali ya Manji, pia Daktari wa Hospital ya Agha Khan, Profesa Mustapha Bapumia ameeleza kuwa Manji anavyuma vinne kwenye moyo wake na hivyo anatembea kwenye kamba nyembamba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке