MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEMILIKI KIWANDA KIDOGO-KIBAHA

Описание к видео MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEMILIKI KIWANDA KIDOGO-KIBAHA

KWA UFUPI: Mahojiano ya Afisa Habari wa UNIC Dar es Salaam, Stella Vuzo na Mwanamke Mjasiriamali, Bi. Asha Ruta wa Kibaha, ambaye anamiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya nazi pamoja na karanga za kusaga.

Kiwanda chake kipo ndani ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке