KATLESI ZA SAMAKI - KISWAHILI

Описание к видео KATLESI ZA SAMAKI - KISWAHILI

Mahitaji - Katlesi 16

Samaki pound 1/500 gms
Mbatata pound 1 1/2 / 680 gms
Kitungu & Tangawizi vijiko 2
vikubwa
Majani ya kotmiri vijiko 4 vikubwa
Majani ya nanaa vijiko 2 vikubwa
Kitunguu cha kijani kiasi 6
Ndimu/Limao vijiko 3/4 vikubwa
Unga wa bizari nzima kijiko 1 kidogo
Chumvi kijiko 1 na 1/2 au kiasi
Pilipili manga ya unga kijiko 1 kidogo
Unga wa bizari nzima kijiko 1 kidogo
Pilipili mbichi kama utapenda
mafuta ya kukaangia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке