Ibada ya kumuingiza kazini Askofu Mteule wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Mbilu

Описание к видео Ibada ya kumuingiza kazini Askofu Mteule wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Mbilu

Unatazama mubashara Ibada ya kumuingiza kazini Askofu Mteule wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Mbilu pamoja na uongozi mpya wa Dayosisi hiyo. Ibada inaongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Fredrick Shoo na imehudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi mbalimbali za KKKT. Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa. Unaweza kufuatilia matangazo haya kupitia mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, instagram na Youtube kwa jina la Upendo Media. Upendo Media Amani kwa Wote.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке