KUTOKA KUBEBA ZEGE NAIROBI | SARAKASI ILINIPELEKA ULAYA | MAPENZI YALINIFANYA NIACHE KAZI

Описание к видео KUTOKA KUBEBA ZEGE NAIROBI | SARAKASI ILINIPELEKA ULAYA | MAPENZI YALINIFANYA NIACHE KAZI

Marwa ambae ni mtaalamu wa Acrobat ameeleza maisha yake tokea Tanzania, Nairobi kua mtoto wa mtaani mpaka kupata nafasi ya kuingia Spain na kufanya kazi

Na baadae kukutana na mke wake ambae ilibidi aache kazi yake na kuhamia Ujerumani kuishi pamoja na kulea familia yao.

Point of correction, euro 5000 alikua akisave ambayo at that time ilikua laki tano ya Kenya.


Thank you Marwa for allowing this to be online
www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке